Early‐life demographic processes do not drive adult sex ratio biases and mating systems in sympatric coucal species

Luke Eberhart‐Hertel,Ignas Safari,Poyo Makomba,Anne Hertel,Wolfgang Goymann
DOI: https://doi.org/10.1111/1365-2435.14600
IF: 6.282
2024-06-25
Functional Ecology
Abstract:Read the free Plain Language Summary for this article on the Journal blog. Sex differences in early‐life survival can drive skewed adult sex ratios (ASR), which play an important role in mating tactics and parental sex roles. Among birds, cuckoos exhibit the largest diversity in mating systems and thus represent an interesting system to study sex‐specific demography. Here we investigate the early‐life survival pathways shaping ASR using long‐term field data and sex‐ and stage‐specific demographic modelling of black coucals and white‐browed coucals—two sympatric Centropus cuckoo species differing in mating system and the extent of sexual size dimorphism. We hypothesized that sexual size dimorphism would lead to differential juvenile mortality due to the greater energy demands and predation risk of the larger sex during maturation. We expected higher early‐life mortality among large‐bodied females in the sexually dimorphic and classically polyandrous black coucal, whereas no bias should exist in the less dimorphic and monogamous white‐browed coucal. Both species had balanced hatching sex ratios, but in black coucals, female survival (μ = 0.64 ± 0.061 SD) was lower during the 'groundling' phase (i.e. a flightless 3‐week period following nest departure) than male survival (0.70 ± 0.066). Yet, this sex difference in survival was not strong enough to account for the species' male‐biased ASR where 70% of the adult population is male. In white‐browed coucals, survival during maturation exhibited high inter‐individual variation but lacked clear sex differences, reflecting the emergence of a balanced ASR. In summary, we found no evidence that the strongly male‐biased ASR of black coucals is driven by sex‐specific survival during maturation. In black coucals, the male‐biased ASR must therefore stem from processes occurring later in life: possibly, larger females are more likely to die during migration and/or the recruitment of young females is delayed due to competitive exclusion by more experienced females. Our results differ from studies on shorebirds, in which sex‐specific mortality of precocial young is related to ASR and mating dynamics. Hence, early‐life sex biases in survival of precocial shorebirds cannot be generalized to other taxonomic groups. Factors other than early‐life sex biases in survival are likely to be important in shaping adult sex ratios and the associated mating dynamics and social behaviours in altricial coucals. Read the free Plain Language Summary for this article on the Journal blog. in Kiswahili language Tofauti za jinsia katika maisha ya awali ya wanyama zinaweza kusababisha uwiano usio sawa wa idadi ya majike na madume wafikikipo umri wa kuzaliana (adult sex ratio, ASR). Uwiano huo una mchango mkubwa katika kuamua mbinu za kujamiiana na mgawanyo wa majukumu baina ya madume na majike katika utunzaji wa watoto. Miongoni mwa ndege, jamii ya tipitipi/dudumizi huonesha tofauti kubwa zaidi katika mifumo ya kujamiiana na utunzaji wa watoto hivyo kuwafanya kuwa kivutio kwenye tafiti za maswala ya demografia za jinsia na namna zinavyoathiri mifumo ya kujamiiana na kutunzaji wa watoto. Kwa kutumia takwimu za muda mrefu kutoka fildi na modeli za kidemografia ziliyojumisha jisia na hatua mahususi za ukuaji, tumechunguza jinsi maisha ya awali ya tipitipi mweusi (Black Coucal) na dudumizi nyusinyeupe (White‐browed Coucal) yanavyoathiri uwiano wa idadi ya majike na madume yaliofikia umri wa kuzaliana. Hawa ni ndege wa spishi mbili tofauti ndani ya jenasi moja (Centropus) wanaoishi katika eneo moja lakini wanatofautiana katika mifumo ya kujamiiana na ukubwa wa mwili baina ya majike na madume. Kwa tipitipi mweusi, jike ni mkubwa kuliko dume, humiliki himaya na hujamiiana na dume zaidi ya mmoja ambapo kila dume hutagiwa mayai kwenye kiota chake ambacho huatamia na kulisha makinda bila jike kuhusika (classical polyandry). Kwa upande wa pili, jike na dume wa dudumizi nyusinyeupe hawana tofauti kubwa ya mwili, jike huwa na dume mmoja ambaye hushirikiana kujenga kiota, kuatamia mayai na kulisha watoto (social monogamy). Tulikisia kuwa tofauti ya ukubwa wa mwili kati ya madume na majike utasababisha utofauti wa uwiano wa vifo vya awali wakati wa ukuaji kutokana na mahitaji makubwa zaidi ya chakula na uwezekano wa jinsia yenye mwili mkubwa kushambuliwa zaidi na wanyama wawindao. Hivyo basi, tulitegemea vifo vingi zaidi katika hatua za awali za ukuaji kwa majike wa tipitipi mweusi ambao wana mwili mkubwa zaidi kuliko madume, lakini hatukutegemea tofauti ya uwiano wa vifo kati ya madume na majike wa dudumizi nyusinyeupe kutokana na tofauti ndogo ya mwili. Matokeo yalionesha kuwa kwa spishi zote mbili uwiano wa idadi ya majike na madume kwenye mayai yaliyoanguliwa ulikuwa sawa, lakini mara baada ya kutoka kwenye viota, ambapo watoto hutambaa ardhini kwa takribani wiki mbili kabla hawajaweza kuruka, majike ya tipitipi mweusi yalikuwa na uwezekan -Abstract Truncated-
ecology
What problem does this paper attempt to address?